Diamond Platnumz - I Miss You LRC Lyrics Download

by Guest
/
5 years ago
/

2855 - Diamond Platnumz - I Miss You.lrc

Copy
Download

Lrc I Miss You by Diamond Platnumz

[id: yceeuiiw]
[ti:I Miss You]
[ar:Diamond Platnumz]
[al:I Miss You]

[00:00.68]I Miss You - Diamond Platnumz
[00:02.85]Written by:Nasibu Abdul Juma Issaack
[00:05.32]
[00:16.02]Hello hapo vipi sijui unanisikia
[00:20.07]Hello nnamaneno natamani kukwambia
[00:24.06]Hello tafadhari usije nikatia
[00:27.40]
[00:27.93]Hello ona mpaka nasaau kusalimia
[00:31.66]Habari ghani leo nimekukumbuka sana
[00:35.54]Na mama yangu twakuwazagaa
[00:38.30]
[00:39.41]Vipi nyumbani hali ya mumeo na wana
[00:43.46]Na aunty shani wa chimwagaa ah ah
[00:47.09]
[00:47.61]Kile kidonda changu cha roho bado kinanitia tabu
[00:50.88]
[00:51.40]Nnajitaidi kukaza roho ila nadhidisha adhabu
[00:55.39]Tena silali oh nasubiri maajabu
[00:59.33]Maumivu yangu yaje apate dawa
[01:03.52]I miss you nakukumbuka iye iyeh
[01:06.99]
[01:07.54]I miss you nakukumbuka iye iyeh
[01:11.13]I miss you nakukumbuka iye iyeh
[01:15.28]I miss you nakukumbuka iye iyeh
[01:18.75]Na roho yangu mama bingili bingili
[01:20.78]Ah nikikuwaza bingili bingili
[01:22.62]Nikisinzia bingili bingili bayoyo
[01:26.31]Oh nikilala bingili bingili
[01:28.55]Ih inama inuka uwoh bingili bingili
[01:30.61]Uku sina raha bingili bingili bayoyo
[01:33.99]
[01:38.21]Ah iyeeeh ah iyeeeh
[01:43.09]
[01:50.33]Tatizo kwetu sijui nini kosa langu
[01:54.41]Mpaka nikawa adui ghafla ukanichukiaga
[01:58.20]Nawaza ila siambui ama shida zangu
[02:02.33]Simba nikawa chui mi roho inaniumaga
[02:06.16]Yawezekana ahadi zangu zisizotimia
[02:10.34]Ndio maana haukutaka kusubiria
[02:14.01]Nasema nyama mwisho wa siku naleta bamia
[02:17.91]Chai mchana usiku dona kurumaghia
[02:21.89]Nilitamani sana ila wangu vyangu palinishia
[02:25.83]Ningalikua na uwezo ningekutimizia
[02:29.79]Mingali unafuraha haya maumivu ntayavumilia
[02:33.79]Ila japo nambie ivi unanifikiria maana eh eeh
[02:38.98]Nakumkumbuka iyeeh iyeh
[02:41.37]Nakumkumbuka sana ooh
[02:42.38]I miss you nakukumbuka iye iyeh
[02:44.95]
[02:45.75]I miss you nakukumbuka iye iyeh
[02:49.18]
[02:49.91]I miss you nakukumbuka iye iyeh
[02:53.12]Ah na roho yangu mama bingili bingili
[02:54.90]Ah nikikuwaza bingili bingili
[02:56.98]Nikisinzia bingili bingili bayoyo
[03:00.62]Oh nikilala bingili bingili
[03:02.81]Ih inama inuka uwoh bingili bingili
[03:04.95]Uku sina raha bingili bingili bayoyo
[03:08.41]Ata nikila bingili bingili
[03:10.90]Nikikuwaza bingili bingili
[03:12.92]Nikilala heeh bingili bingili bayoyo
[03:16.50]Ooh ona roho yangu mama bingili bingili
[03:18.93]Ah nikikuwaza bingili bingili
[03:20.57]Nikisinzia bingili bingili bayoyo
[03:24.21]
[03:38.00]Heeeh roho yangu mama bingili bingili
[03:42.39]Heh heh heeh bingili bingili
[03:44.52]Heh heh heeh bingili bingili bayoyo
[03:46.99]Oooh roho yangu mama bingili bingili
[03:50.12]Ih inama inuka uwoh bingili bingili
[03:52.21]Ajabu sina raha bingili bingili bayoyo
[03:55.69]Ah ata nikila

Views45
Downloads1

Hide sitemap